ILANI YA CCM 2010 PDF

Posted In Sex

alias ‘Msomaji Raia’ argued that if CCM was not Nyerere’s mother, and thus could Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, Oktoba 31 ILANI YA UCHAGUZI YA CCM YA MWAKA – UTANGULIZI 1. Katika Uchaguzi wa kushindanisha vyama vingi vya siasa ili kutwaa. wa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka kwa by, , Mpigachapa Mkuu wa Serikali edition, in Swahili.

Author: Shami Fenrill
Country: Chile
Language: English (Spanish)
Genre: Love
Published (Last): 28 March 2008
Pages: 222
PDF File Size: 17.63 Mb
ePub File Size: 10.21 Mb
ISBN: 914-6-98012-118-5
Downloads: 6405
Price: Free* [*Free Regsitration Required]
Uploader: Kazilrajas

Mkazo mkubwa wa maandalizi utawekwa kwenye ajira binafsi. Kufufua na kupanua mitambo ya TPDC ya kusafishia mafuta na kuhakikisha kwamba mitambo hiyo inafanya kazi wakati wote.

Kuandaa mkakati endelevu wa kukarabati barabara na madaraja nchini ili kuinua uhai wa miundombinu hiyo na kupunguza kwa kiwango ii 38kikubwa gharama za kuzikarabati. Wakati huo huo kuhakikisha kuwa hoteli zinakuwa katika hali ya unadhifu. Maktaba hiyo imeanza kutoa huduma. Kuyaendeleza maeneo maalumu ya kufanyia shughuli za biashara ndogo ndogo hasa mijini na kuimarisha mfumo na taratibu za utoaji wa leseni za biashara wenye kuzingatia usafi wa miji na hifadhi ya mazingira. Kuongeza upatikanaji na utumiaji wa pembejeo za kilimo, hususan mbolea, mbegu na miche bora na kuweka mfumo utakaohakikisha upatikanaji wa pembejeo hizo kwa wakulima.

Kutoa elimu kwa umma juu ya Sheria za Ardhi, Sheria ya Mipangomiji, Sheria ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi na sheria zingine zinazohusiana na utawala wa ardhi. Kuifanyia marekebisho Sheria ya Ajira ili kuwalinda watoto dhidi ya ajira mbaya. Taaluma ya matumizi ya nishati mbadala imetolewa kwa wananchi wa vijiji vya Kiembesambaki, Donge na Bububu.

Kutekeleza mipango endelevu ya kuwaandaa vijana wataalamu katika fani mbalimbali za maendeleo. Chama Cha Mapinduzi kinatambua kwamba katika kipindi hiki suala la ajira, na hasa ajira ya vijana, limekuwa nyeti. Kutengeneza kanuni za utekelezaji wa sheria hizo. Ujenzi wa msingi wa uchumi wa kisasa wa Taifa linalojitegemea unaotumia kwa wingi sayansi na teknolojia katika shughuli za uzalishaji mali na utoaji huduma,35unahitaji huduma za umeme na maji zinazotolewa kwa uhakika. Watanzania walio wengi wanapungukiwa na maarifa ya uchumi wa kisasa, hawana mitaji na mazingira ya jamii yenye vikwazo 46vingi vinavyowafanya washindwe kushiriki katika uchumi wao.

ILANI – CCM PARTY MANIFESTO

Kukiimarisha Chuo cha Maendeleo ya Utalii kwa kuboresha miundombinu yake, kuandaa Dira ya Chuo, kuboresha viwango vya elimu ya wakufunzi na huduma kwa wanafunzi. Ili kuendeleza sekta ya utalii na kuifanya itoe mchango mkubwa zaidi katika uchumi wa Zanzibar na maendeleo yx wananchi kwa jumla, katika kipindi cha miaka mitano ijayoSerikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya uongozi wa CCM, itatekeleza yafuatayo: Katika kipindi kilichopita Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya uongozi wa CCM, imepata mafanikio makubwa katika ujenzi wa miundombinu ya kiuchumi, kuimarisha ustawi wa jamii na kuvutia uwekezaji na biashara.

  BASIC APPLIED RESERVOIR SIMULATION ERTEKIN PDF

Chama cha Mapinduzi kinaweka bayana kuwa Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka itajikita katika kuendeleza jitihada na kuanzisha hatua ya mwanzo na ya msingi ya mapinduzi kuelekea modenaizesheni ya uchumi na ujenzi wa uchumi wa kisasa wa Taifa linalojitegemea.

Changamoto zinazowakabili ni pamoja na ukosefu wa ajira, elimu na maarifa ya kisasa katika uzalishaji mali, biashara na ujasiriamali. Kuwapatia wananchi maakazi na nyumba bora ni miongoni mwa malengo ya Mapinduzi matukufu ya tarehe 12 Januari, Sheria ya Dhamana ya Mikopo ya Nyumba inayowawezesha wananchi kujenga nyumba bora, na Sheria ya Umilikaji wa Sehemu ya Nyumba inayowawezesha wananchi kumiliki sehemu ya jengo kwa ajili ya makazi au shughuli mbalimbali.

Uandikishaji wa watoto waliofikia umri wa kuanza darasa la kwanza umeongezeka kutoka asilimia mwakahadi asilimia Mazingira ni suala mtambuka ambalo linagusa sekta zote za kiuchumi na kijamii. Kuweka utaratibu shirikishi wa upandaji miti, uvunaji na udhibiti wa moto. Jumla ya hektavisima 6 na pampu 6 zimeimarishwa na kuwekwa katika mabonde ya Kibokwa, Bumbwisudi, Mchangani na Cheju. Katika kipindi cha Ilani mkazo utaelekezwa katika matumizi ya maarifa katika sekta ya mifugo.

Kuanzisha vyuo vya Ufundi Stadi angalau kimoja kwa kila wilaya ifikapo mwaka Kutokana na ukosefu wa zana bora za uvuvi, wavuvi wadogo wadogo wamekuwa wakitumia zana duni ambazo husababisha uharibifu mkubwa wa mazingira.

Illani yaliyofikiwa katika Sekta ya Maji ni haya yafuatayo: Kuendelea kuwahamasisha wavuvi juu ya uanzishaji wa vikundi vya ushirika na matumizi ya maarifa ya kisasa na zana bora za uvuvi na kuwapatia misaada na mikopo ya zana hizo, ili uvuvi uwe wa kisasa zaidi utakaokidhi mahitaji ya soko la ilano. Kuongeza upatikanaji na matumizi ya zana za kilimo kwa kuishirikisha sekta binafsi, kuhamasisha na kuwezesha vikundi vya wakulima, hususan vijana kupata mikopo ya pembejeo na zana za kilimo kutoka kwenye Mfuko wa Pembejeo.

ILANI – CCM PARTY MANIFESTO | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

Hivyo, lengo hilo litafikiwa kwa kuishirikisha sekta binafsi kwa ukamilifu katika kutekeleza yafuatayo: Kuendelea kutekeleza Programu ya kufundishia na kujifunzia kwa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Shule za Sekondari.

  KEN KRENZEL PDF

Kuendeleza jitihada za kuimarisha sekta binafsi ili kuongeza mchango wake katika uwekezaji kutoka asilimia 45 mwaka hadi asilimia 75 mwaka Kujenga uwezo wa utaalamu wa kushiriki kwa ukamilifu katika mikataba yote ya madini kwa lengo la kulinda maslahi ya nchi.

Kuendelea kuhamasisha wananchi ili kukuza kiwango cha uelewa na mwamko wao katika kuchangia huduma za maji ili ziwe endelevu na kutoa kipaumbele katika kulinda, kuhifadhi na kutunza rasilimali maji hasa katika vyanzo na makinga-maji Catchment areas dhidi ya uvamizi kwa shughuli za ujenzi na kilimo. Sera hii itatekelezwa na kuimarishwa katika kipindi cha Ilani hii kwa Serikali kuendeleza yafuatayo: Kuweka mfumo wa mikopo ya muda mrefu kwa waendelezaji wadogo wa nishati vijijini.

Matokeo yake ni kwamba kila mwaka nchi itazalisha chakula cha kutosha na kuuza nje ziada ili kupata fedha za kigeni. Kushirikiana na wadau wengine katika kufanya utafiti juu ya maeneo mengi ya ajira na kupanua wigo wa harakati za kiuchumi zinazozalisha ajira nyingi kama vile kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara na viwanda vidogo vidogo ili kuongeza fursa za ajira kwa vijana.

Kuandaa walimu wengi wa Elimu ya Awali na kuwapanga katika shule zinazohusika. Kuendelea kufanya tafiti za kiakiolojia na hifadhi za Urithi katika Mapango ya kale na Baharini na kuanzisha Kituo cha Uhifadhi wa vitu vya baharini Kukamilisha upimaji wa maeneo ya Kihistoria na kuyapatia hati miliki. Kukamilisha kazi ya ujenzi wa uzio, uwekaji wa taa katika barabara ya kurukia na kutulia ndege na uimarishaji huduma za umeme kwa kukipatia generator la akiba Kiwanja cha Ndege cha Karume Pemba.

Ilani ya CCM –

Kuzihimiza Serikali za Mitaa kusimamia suala la usafi wa miji, hifadhi ya mazingira na kuhakikisha kuwa kila mwenye uwezo wa kufanya kazi anafanya kazi.

Miradi imekamilika katika wilaya mbalimbali hapa nchini na watu wanapata maji safi na salama. Hivi sasa asilimia 90 ya nishati tunayotumia nchini inatokana na tungamotaka biomass wakati mafuta ya petroli na umeme hutupatia asilimia 10 tu ya mahitaji yetu.